Wanandoa Kulala Vitanda Tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wanandoa Kulala Vitanda Tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ni kweli mkuu hebu fikiria baridi ya siku hizi jamani kipenzi chako kiko mbali nawe? mm wife alikuwa anaweka mtt wetu mchanga katikati baridi imemfanya amsukumie mtt mbali akamfuata mme wake! chezea baridi ww!

wambie kiongozi, chezea kukumbatiwa na umpendaye!
 
Back
Top Bottom