Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Ngoja nisubiri msimamo wa Mamndenyi kwanza kwenye hu uzi then nami nitachangia! Joke.
Ni makubaliano tu, pia umri wenu na umri wa ndoa pia unahusika, kama mnawatoto au hamna pia ni factor nyengine..Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo walivyoamua kuishi.
Wengine hueanda mbali zaidi na kulala vyumba tofauti.
Je ni sawa kweli hii??
Nawasilisha!!
******Nagila nkwibe******
kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.
Tatizo kikwapa, sasa.
mwana mayo, Waweja sana!ka-harufu ka mama watoto wangu nakapenda sana, naamini hata yeye anapenda kajasho kangu kwani huwa anapenda kuvaa tisheti zangu kabla ya kuzifua.
Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo walivyoamua kuishi.
Wengine hueanda mbali zaidi na kulala vyumba tofauti.
Je ni sawa kweli hii??
Nawasilisha!!
******Nagila nkwibe******
Mimi sijaoa but rose wangu anavyopenda kuchezewa nywele kabla ya kulala na kushikwa kiuno na mashavu cjui kama hii style itatufaa na anavyodeka i cant:smile-big:kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.
Saa nyingine unaweza kuota ndoto ya kutisha, unapostuka ukapapasa na kukuta mwenzio yuko pembeni, hofu inaisha.
Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo walivyoamua kuishi.
Wengine hueanda mbali zaidi na kulala vyumba tofauti.
Je ni sawa kweli hii??
Nawasilisha!!
******Nagila nkwibe******
Ina maana katika karne hii kuna wanandoa bado wanalala kitanda kimoja? Kama mmeshibana sana kila mtu kitanda chake kwenye chumba kimoja, otherwise kila mtu chumba chake. Siku ya ratiba ya kubanjuana ndo mnakutana chumba kimojawapo. Mkimaliza kila mtu kwake akorome kwa uhuru