Wanandoa Kulala Vitanda Tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,112
Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo walivyoamua kuishi.
Wengine hueanda mbali zaidi na kulala vyumba tofauti.
Je ni sawa kweli hii??
Nawasilisha!!



******Nagila nkwibe******
 
Ina maana katika karne hii kuna wanandoa bado wanalala kitanda kimoja? Kama mmeshibana sana kila mtu kitanda chake kwenye chumba kimoja, otherwise kila mtu chumba chake. Siku ya ratiba ya kubanjuana ndo mnakutana chumba kimojawapo. Mkimaliza kila mtu kwake akorome kwa uhuru
 
Mimi wala sioni ubaya wowote maana kuna wengine kama mimi ambao hatupendi mibanano.

Nikiwa kitandani kwangu nimepiga mbonji huwa najiachia kikweli kweli.
 
hahahahaa mkuu huoni ni usumbufu kumfuata mwenzako upande wa pili ukiwa muhitaji kwa wakati huo?
duh kweli nipo nyuma sana eti!!!!!!!1
 
Mimi wala sioni ubaya wowote maana kuna wengine kama mimi ambao hatupendi mibanano.

Nikiwa kitandani kwangu nimepiga mbonji huwa najiachia kikweli kweli.
Ka joto ka mwenza nako kana raha yako!!! (This excludes Daslam).....
 

Hii roho ishindwe kabisa nyumbani kwangu!!!
 
wanandoa kulala vyumba tofauti ni tatizo tena kubwa maana hapo wanatengua ule usemi wa kuwa mwili mmoja.
wanandoa kulala vitanda tofauti ndani ya chumba kimoja ni sawa na ni kawada ila walitumia wazee wa zamani kama njia ya uzazi wa mpango yaani baba anamfata mama kitandani kwake wakati maalum na akiwa na ashiki pia ilikuwa inamtenga mama na baba pale mama anapokuwa kwenye mzunguko wake wa mwezi.....................
mengine muulize bibi au babu yako ukikosa google.
 
kwa afya ya ndoa sidhani kama ni sawa. nashawishika kusema huwenda wote ni wapigaji wa mechi za ugenini kwa hiyo mmoja alipo propose kwamba kila mtu alale chumba chake mmoja akakubali faster ili angalau hata usiku aweze kuchati hata kupiga simu na hawala wake. AU kuna mmoja ana koroma kama mashine ya unga inayotaka ishiwa disel so usingizi hakuna na hapo umetoka job wahitaji utulivu mwenzako ndo anaunguruma hatari so unaona isiwe shida.
 
kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.
 

Katika baadhi ya mila Mama akijifungua analala na Mama Mkwe katika kipindi cha mwaka mzima, sasa hapo wewe Baba utakoma kama utaweza kwenda kugonga kwa Mama yako.
 
i experiance ths my dady n mam slept at two different bed
 
kwanza nilivyozoea kulala nimekumbatia, nimekumbatiwa, ninavyopenda kupapasa nyonyo, ninavyopenda story kabla ya kusinzia, sipati picha kulala kitanda tofauti na mama watoto wangu, nakupenda sana Jaqueline wangu.
Tatizo kikwapa, sasa.
 
Hii kitu mbona ni ya kawaida sana hasa kwa watu wazima(wazee).
 
At my parents's house kuna vitanda viwili chumbani kwao moja kidogo moja kikubwa mama ananaiambia ni wakati tukiwa watoto hicho kidogo kilikuwa kinalala mtoto mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…