Wanandoa kufanana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa kufanana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 28, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hivi inakuwaje unakuta mara nyingi mume na mke waliokaa kwa miaka kadhaa wanafanana sura?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio mume na mke tu. Hata wapenzi.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni masuala ya kisaikolojia zaidi. Kwa kawaida tunavutiwa na watu wanaofanana nasi au wanaofanana na wale wanaotuzunguka katika familia yetu: dada, mama, kaka, baba, nk. Na mara nyingi hawa wanafamilia zetu ni watu tunaofanana nao hata kwa sura. Kumbe hata katika mahusiano na watu wa nje (wenzi) tunakuwa na mwelekeo wa kuvutiwa na wanaotufanana au wale wanaofanana na wanafamilia zetu; ambao nao kwa kawaida wanatufanana kwa sababu ya uhusiano wa kinasaba. Ndo mana unakuta mume na mke mara nyingine wanafanana kwa sura.
   
Loading...