Wanandoa hii vipi??

sister umenikumbusha mbaki last, hii mbinu ni nzuri ila wahusika anatakiwa wahusika wawe matured.
Hahaha unajuwa shunie mjanja mjanja sana hizi mbinu atakuwa anakufanyia sana mzee fakalava, dawa hapa ni maombi tu
 
Mi hadi simu yangu ikiita inaandik private no calling hadi uswipe finger print ndio uone jina, kuhusu gallary sms phone book call reguster multiple password access from fingerprint to password..ni simu yangu sio ya familia, ikiwa mi nafanya kazi we kila siku kufuatilia tu na ugomvi what should i do..kama kuna hiyo haki ikatafsiriwe mahakamani
Hahaha dah mkuu naona umejitetea ipasavyo
 
Hahahaha sawa mkali wao, ila usinisikitikie kutojuwa kufanya dhambi, unajuwa yesu hapendi tutende dhambi
pamoja na hayo alikuwa anajua dhambi zinazoendelea bila yeye mwenyewe kuzienda..........so kuzijua si kuzitenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom