Wananchi wenzangu wameshaanza kumsifia Rais baada ya kutamka ni ruksa kumkosoa

shabani materu

New Member
Dec 23, 2020
1
0
Ni vizuri kwa anavyosifiwa sijakataa, ila ningependa kwa anaefahamu vizuri sheria inasemaje juu ya hili?

Isitokee akakosolewa alafu sheria ikaleta ukakasi kama tunavyowajua wakosoaji wapo na wanakosoa japo kwa kuogopa sana.
 
Back
Top Bottom