Wananchi wengi sana wanaojitokeza katika ziara za Rais Dr Magufuli na kumshangilia zinatoa picha gani kiutawala

Mtu mwenye akili timamu hawezi kulazimishwa jambo ambalo halipendi kulitenda tena kwa hiyari mwenyewe...never....ukilazimishwa na ukalifanya basi wewe ni mgonjwa wa akili
Unawatukana walimu wanaokatwa michango ya mwenge siyo?
 
Umesahau kuwa mitaji ya ccm ni wale watu wa vujijini wenye hali ya chini kabisa ambao chakula chao asilimia kubwa ni ugali na mchicha pori.
Hao unaowabeza kwa kushindia ugali na mchicha pori wanakaribia 75% ya wa TZ wote. Nyie mnaoshindia vyakula vinavyoandaliwa kempiski hotel hamkaribii 25%. Kumbuka pia kwamba kura yako na ya house girl wako zina thamani sawa.
 
Msumari umekuingia

I have a dream.
 
Hao unaowabeza kwa kushindia ugali na mchicha pori wanakaribia 75% ya wa TZ wote. Nyie mnaoshindia vyakula vinavyoandaliwa kempiski hotel hamkaribii 25%. Kumbuka pia kwamba kura yako na ya house girl wako zina thamani sawa.
Kwa nchi hii ya Tanzania kama wewe una akili timamu huwezi kuongelea sanduku la kura.

Unatakiwa uongelee tume ya ccm ya uchaguzi. Kama wewe unadhani kuwa tz kuna chaguzi huru hasa ya urais bsi tuna wasi wasi na uelewa wako
Kama
 
Kwa mfano mimi sijawahi kumuona Magufuli live hvyo ikitokea akafanya ziara huku kijijini kwetu nitalazimika niende nikamuone live.
 
Bora jiwe aweke kodi ya kichwa kama zamani kila mtu alipe ili tuisaidie serekali wapite kila nyumba
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kulazimishwa jambo ambalo halipendi kulitenda tena kwa hiyari mwenyewe...never....ukilazimishwa na ukalifanya basi wewe ni mgonjwa wa akili
Waulize wafanyakazi wa serikali mfano Mei Mosi wangapi walienda kwa ihari. Unasaini na wasioenda wanajieleza. Unaowaona wengi ni wale wapewa vitenge na khanga. Huwezi kula siku ukaomba kuombewa kila mahali kama huna kitu unahisi hufanyi sawa. Time will tell.
 
Ukijaribu kufuatilia ziara za Rais Magufuli ndani ya nchi na msafara wake wananchi wengi sana wanajitokeza kila kwenye kijiji au miji midogo iliyopo kanda ya barabara na karibu maeneo hayo yote Rais husimama na kuwasilimia kwa muda mfupi.

Lakini kikubwa nachokiona katika ziara hizi kwanza ni ile idadi kubwa inayojitokeza na pili namna wanavyoshangilia hotuba zake na kumfurahia Rais Magufuli na tatu anavyosikiliza kero zao na zingine kuzitatua on the spot.

Hali hii unaweza kuitafsiri vipi kiutawala na haya maneno maneno ya kila siku hali ngumu kimaisha,utawala unakandamiza haki na demokrasia na kuuwa watu?
Everything is planned
Hivi kwa akili zako finyu tu unaweza kuzuia msafara wa Rais kweli kama sio dili siasa ni mchezo mchafu sana
 
Hao wananchi wanaojifanya wanamsimamisha barabarani akiwa kwenye msafara wake huwa wanaandaliwa kwa lengo la kwenda kumshangilia ili aonekane anapendwa.

Hakuna jambo linalofanyika kwa bahati mbaya, huu mchezo umeanza siku nyingi tu.
Mkuu kama uko kwenye akili yangu hovyo sana hii halafu TBC 1 yaani full live coverage hata kama kuna kuzindua choo cha kijiji
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kulazimishwa jambo ambalo halipendi kulitenda tena kwa hiyari mwenyewe...never....ukilazimishwa na ukalifanya basi wewe ni mgonjwa wa akili
Hao ni wafia Chama cha kijani mkuu
 
Ukijaribu kufuatilia ziara za Rais Magufuli ndani ya nchi na msafara wake wananchi wengi sana wanajitokeza kila kwenye kijiji au miji midogo iliyopo kanda ya barabara na karibu maeneo hayo yote Rais husimama na kuwasilimia kwa muda mfupi.

Lakini kikubwa nachokiona katika ziara hizi kwanza ni ile idadi kubwa inayojitokeza na pili namna wanavyoshangilia hotuba zake na kumfurahia Rais Magufuli na tatu anavyosikiliza kero zao na zingine kuzitatua on the spot.

Hali hii unaweza kuitafsiri vipi kiutawala na haya maneno maneno ya kila siku hali ngumu kimaisha,utawala unakandamiza haki na demokrasia na kuuwa watu?
Asilimia kubwa ya hao watu hawajaelimika pia watanzania ni wavivu badala ya kufanya kazi zao wanashinda kwenye mikutano ya ccm
 
Ukijaribu kufuatilia ziara za Rais Magufuli ndani ya nchi na msafara wake wananchi wengi sana wanajitokeza kila kwenye kijiji au miji midogo iliyopo kanda ya barabara na karibu maeneo hayo yote Rais husimama na kuwasilimia kwa muda mfupi.

Lakini kikubwa nachokiona katika ziara hizi kwanza ni ile idadi kubwa inayojitokeza na pili namna wanavyoshangilia hotuba zake na kumfurahia Rais Magufuli na tatu anavyosikiliza kero zao na zingine kuzitatua on the spot.

Hali hii unaweza kuitafsiri vipi kiutawala na haya maneno maneno ya kila siku hali ngumu kimaisha,utawala unakandamiza haki na demokrasia na kuuwa watu?
Ukweli ni kwambawatu wa mijini ndio wanaolialia hali ngumu,demokrasia na mengineyo,ila huko vijijini wanamkubali sana JPM kwani wametatulia shida nyingi sana na wanamkubali sana,
 
Ukijaribu kufuatilia ziara za Rais Magufuli ndani ya nchi na msafara wake wananchi wengi sana wanajitokeza kila kwenye kijiji au miji midogo iliyopo kanda ya barabara na karibu maeneo hayo yote Rais husimama na kuwasilimia kwa muda mfupi.

Lakini kikubwa nachokiona katika ziara hizi kwanza ni ile idadi kubwa inayojitokeza na pili namna wanavyoshangilia hotuba zake na kumfurahia Rais Magufuli na tatu anavyosikiliza kero zao na zingine kuzitatua on the spot.

Hali hii unaweza kuitafsiri vipi kiutawala na haya maneno maneno ya kila siku hali ngumu kimaisha,utawala unakandamiza haki na demokrasia na kuuwa watu?
Sio kweli kwamba democrasia imebanwa vyama vya siasa viko huru kufanya mikutano na kuongea na wananchi isipokuwa Havana cha kuwaeleza maana serekali iko vizuri sana katika kutekeleza mipango chanya, c kweli kwamba vyuma vimekaza sasa hivi ajira ni nyingi sana kila kukicha serekali inaajiri na hata sekta binafsi imeimarika sana, viwanda karibia elfu nne vimeanzishwa na vyote vimeajiri wafanyakazi wapya, wanaosema hakuna ajira ni wavivu tu. Kingine kizuri ni kwamba mheshimiwa raisi anatatua kero papo kwa papo mfano kama shule hazina vyoo anatoa cash hapohapo hii inasaidia sana maana shule zote zitakuwa na vyoo tena vya kisasa. Hawa wanaolalamika sijui wanamatatizo ya akili?
 
Back
Top Bottom