MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,606
- 11,820
Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima.
Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao.
Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto nunua bidhaa/huduma wala kushirikiana nao kijamii na Askari polisi na familia zao kwa ujumla