Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,649
- Thread starter
-
- #21
Mwigulu huyo! Lol! Kumbe anafani nyingi hata kwenye riadha yumo!Mbaya zaidi wananchi wako zaidi 20 halafu huyo sijui ndiye nani vile yuko peke yake,alishazoea ananyatia,anajilimbikizia na kujilia taratibu,this time majamaa yameamua kumkomalia,nakwamba anakimbia huku anasikia harufu ya kifosijui 2015!!!!!!yangu macho.
Huyu lazima aishie ICC The HagueDuh hapo ni mbio tu zitakazomuokoa huyo bwana....
Huyu lazima aishie ICC The Hague
Hata sharubu zake tu zatosha kufikishwa hukoSi mpaka abahatike kutoka hapo akiwa na uhai wake...