GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,192
Reaction score
99,924
Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake

IMG-20250807-WA0040.jpg
 
CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?

Video nyingine ni tukio la March 10,2009
 
CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?

Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482
Nimekumbuka yule rais aliyeuwa kwa risasi, rais wa Romania, Ceaușescu. Alikuwa ametoka ''kushinda'' uchaguzi mkuu kwa asilimia 99, lakini siku chache baadae akazomewa na umati na kuuawa. Ndugai naye alikuwa ametoka ''kushinda'' kura za maoni na alikuwa anasema wananchi wake wanampenda. Ila CCM wasipomsikiliza Polepole, kuwa tunahitaji maridhiano ya kitaifa ili tuanze upya hali itazidi kuwa mbaya....
 
CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?

Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482
Hizi ndo mada mpendazo chadema 😂 hapo roho zenu n burudani tuu
 
Back
Top Bottom