GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
WAKUU SIJUI kwa Nini, Kuna WATU BADO Hawa amini KUWA HALI SI shwari. YANI ukikaa off mtandaoni kidogo TU unapitwa na matukio makubwa AMBAYO hayakufikiliwa kutokea.

Wanachi kuandamana kuwagomea wateuliwa, polepole kuzingua, ndugai kufariki, HAPO BADO Kuna matukio yaja BAADA ya wagombea kutangazwa rasmi kamati kuu. HAYA YOTE ni ndani ya miezi miwili TU.




Kwishaaaa
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
That's karma na karma huchukua miaka 4-5 kwahiyo tegemea mpukutiko mkali mwingine.
 
CCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?

Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482
Hizi ni red flag kama hawazioni shauri yao na hii iwe fundisho kwa wenye mamlaka kwa sasa TAL yupo jela lakini anafuraha na afya tele wao wako uraiani kama wako jela wanawaogopa hata wanaowaongoza kwaua hawakubaliki ghadhabu za Mungu ziendelee juu yao
 
TCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiwe
Hukuwahi kuwambia TCRA wasicheke na nyie CCM mlivyo shangilia soka ,mdude nk walipo uawa mavi nyie mkiguswa nyie ndio panauma kwa vile mnajuona nyie ndio binadamu wengine ni mawe .mtaendelea kujifia kidogo kidogo hivyo hivyo
 
Kikwete na Samia mna Cha kujifunza hapa
Screenshot_20250807-064112.png
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Bado sijaelewa hii Falsafa ya Mungu. Ni ya juu sana.
 
Back
Top Bottom