Wananchi wafurika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi Wilaya ya Chato kumuona Nyoka wa ajabu

Ni Ishara njema kuwa Mkombozi wa Taifa hili zama hizi anatokea Chatto Kuja kukomboa Nchi
 
Dah! Hizi imani bana, joka kubwa aina ya chatu limeibuka kule Chato, Tanzania, wengi wanaamini ni ishara za bahaati nzuri, sasa wamejitokeza kulipelekea zawadi kama vile maziwa, unga, mbuzi, maji n.k.
--------------------------------------------

Phython+pic.jpg



Chato. People have been flocking to a bush in Kasala village in Geita to see ‘a huge but friendly python’, which they believe has brought good message.
Some of those, who have been going to the bush, have been giving offerings to the snake including goats, milk, flour and water.
The python according to residents arrived in the village almost a month ago.
Hii ni lack of education tu na ushirikina. Typical of any Ldc..
 
Ndio ulichobakiza tu hicho, ulishafulia kitambo Sana umebakiwa tu na past news,
Lete za zenu mkichinjana kisa ukabila tuone.

Roho nyeusi, video zipo mamia, yaani nyie balaa, nenda uone comments mnavyosababisha Afrika itukanwe
 
Ndugu zangu katika kitu wanachoshindwa watumishi wa dini za kiislam na kikristo ni kitendo cha kuwaacha waamin wao wakiwa mambumbu au wasiojielewa na kujitambua, kwanini wanawaacha waamini wao wakiwa hawajitambui na kujielewa hilo ndo swali kubwa sana

Nahisi wanaogopa kupoteza mapato na wafuasi

Wachungaji na mashehe wanatakiwa wawaambie waamini wao nini maana ya IMANI

Iman ni nini, ni kuamini kitu ambacho hakipo hiyo ndo maana ya IMANI

Ndo maana tunaita iman ya kiislam yaan ni iman tu inawezakana kuwa ipo au haipo inawezekana Mungu yupo au hayupo hiyo ndo iman

Ndo maana tunaita iman ya kikrsto ni iman tu utake uamin au usiamin ni kitu ambacho hakipo na hakuna anayejua kama dini yake ni ya kweli au ni ya kutunga na hakuna anayejua kama kuna Mungu au kama hayupo ni IMAN tu inatakiwa uamini au usiamini

Ndo maana waislam na wakristo wengi ni kama mazezeta samahan sana kwa kuongea lugha ngumu msiyo penda kuisikia

Leo hii mlevi mmoja wa dini ya kiislam anaenda kanisani kujilipua na kuua watu wasio na hatia kisa iman tu, ahahahaaa yaan kisa kitu ambacho inawezekana kipo au hakipo anaenda kuuwa watu wasioa na hatia ambao nao wanaamini kitu ambacho yawezekana kipo au hakipo, hivi ni vichekesho sana

Kwahiyo watumishi wa Mungu inawapaswa waambie waamini wao nini maana ya Imani kuwa ni kuamini kitu ambacho yawezekana kipo au hakipo

Kwahiyo bas sisi wasukuma hatujanza leo kuwa na iman ya kuamini nyoka, hata sisi hatujui kama tuko sahihi au hatuko sahihi maana ni imani tu

Kwahiyo tuachwe kama tulivyo

Nawashangaa sana mazezeta ya kiislam na kikristo yanayoishangaa iman ya kisukuma iman ambayo ni ya zaman kushinda hata iman zao menyewe ambazo yameletewa miiaka kama mia mbili iliyopita, tena cha ajabu yameletewa na wafanya biashara ambao walikuwa yanauzwa kama kuku mnadani
 
Back
Top Bottom