Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Chadema mnaendeleza uhuni wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio tunachoshuhudia.
Tanzania kuna taifa au kuna mautumbo ya bata ..hili nalo taifa ..ptuuuh
Chadema mnaendeleza uhuni wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio tunachoshuhudia.
Angalia, itafikia mahali hata mai waifu wako akikunyima unyumba kwa kushindwa kwako kuwajibika kwenye familia, utasema ni Chademachadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
Kama mmewapa nafasi 'waiharibu' unafikiri wataiacha!chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
Chadema mnaendeleza uhuni
wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio
tunachoshuhudia.
Angalia, itafikia mahali hata mai waifu wako akikunyima unyumba kwa kushindwa kwako kuwajibika kwenye familia, utasema ni Chadema
Nasikia harufu kali sana ya bange
Jambo kama hili si mara ya kwanza kutokea hapa nchini nakumbuka hata Dar kuna kipindi wananchi walifunga Barabara kwa tatizo kama hili, kinachosababisha haya ni Serikali kutokuwa na usikivu wa malalamiko ya wananchi na inapotokea kutosikilizwa na kutekelezewa wanachohitaji hayo yanayotokea hutokea.Hizi bangi kweli mbaya, yani zina haribu kabisa uwezo wa mtu kufikiri!Sasa kama hao wananchi waliofunga barabara, kwani hawazijui taratibu za kuweka bumps kwenye barabara mpaka waifunge?Kama barabara ni ya kitaifa au mkoa, basi wawasiliane na TANROADS ambao wana ofisi karibu kila mkoa, au kama ni ya wilaya wawasilishe halmashauri.Mbona ni jambo dogo tu hili na wala halihitaji kuandamana na kufunga njia, kweli CHADEMA mmetuharibia jamii yetu.
Hizi bangi kweli mbaya, yani zina haribu kabisa uwezo wa mtu kufikiri!
Sasa kama hao wananchi waliofunga barabara, kwani hawazijui taratibu za kuweka bumps kwenye barabara mpaka waifunge?
Kama barabara ni ya kitaifa au mkoa, basi wawasiliane na TANROADS ambao wana ofisi karibu kila mkoa, au kama ni ya wilaya wawasilishe halmashauri.
Mbona ni jambo dogo tu hili na wala halihitaji kuandamana na kufunga njia, kweli CHADEMA mmetuharibia jamii yetu.
chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!
Ahaa nilidhani wanamlilia lema kumbe ni matatizo yao ok maana huyu rc wa arusha ni kiboko ya manunda
Na hii ni kweli kabisa, maana magamba kila wakati yanaweweseka Chadema tuuuu.Angalia, itafikia mahali hata mai waifu wako akikunyima unyumba kwa kushindwa kwako kuwajibika kwenye familia, utasema ni Chadema
Lema atafutwe akatolee maelezo hili kituo cha polisi ...... huu ni uchochezi wa lema dhahiri atafutwe awekwe ndani!!!!!!
chadema wanazidi kuiharibu nchi!!!