Wananchi wa Monduli wasema Lowassa hana shamba, Lukuvi aache kumchafua

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Wakazi wa Monduli wameitaka serikali kuwapa hati ya shamba la Manyara ranch kwani shamba hilo lilisharudishwa na serikali ya awamu ya tatu lakini hati yake haijaonekana mpaka leo na wanashangaa wanasiasa kumhusisha Lowassa na umiliki wa shamba hilo
Mbunge wa Monduli amesema mgogoro huo unakuzwa na watu na William Lukuvi atafika katika eneo hilo
 
Back
Top Bottom