Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,455
Pamoja na udharirishaji aliofanyiwa mbunge wa Mbeya mh.Joseph Mbilinyi na askari wa bunge kwa amri ya naibu spika Ndugai bado wananchi wa Mbeya wana imani kubwa na mbunge wao mh.Sugu.
Wakiongea kwa nyakati tofauti tofauti kwa njia ya simu,sms,mitandao ya kijamii na mahojiano ya ana kwa ana wananchi hao wa Mbeya wameonesha kusikitishwa na ubabe usiokua na 'akili' uliofanyawa na askari wa bunge kumburuza sugu kama mharifu ilihari yeye 'sugu' ni mbunge aliechaguliwa kwa kura za kishindo na wana Mbeya.
Wananchi walienda mbali zaidi na kusema wanasuburi kwa hamu uchaguzi 2015 waichakaze CCM kwa aibu...."unajua sisi watu wa Mbeya tuna akili hatukukosea kumchagua sugu ngoja 2015 tutawaonyesha CCM kuwa Sugu ndie rais wa Mbeya"....alisema mmoja wa mwananchi kutoka Mwanjelwa Mbeya.
Mh. Sugu alitolewa nje ya bungu na askari kufuatia kitendo chake cha kuzuia kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni KUB mh. Mbowe asitolewe nje ya bunge km ilivyo amriwa na Ndugai naibu spika wa bunge.