[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jitekenye na kucheka mwenyewe.washukuru marehemu alivowapa ubunge wa Bure nchi nzimaMbunge kijana Tulia Ackson anatosha kwa Mbeya mjini. CHADEMA wakapambanie huko Hai labda wataambulia kitu.
Mbeya atuna udongo kama uwoMleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapa
RIWAYA: EKA EKA ZA MBOWE MLAMBA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI.Mleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapa
RIWAYA: EKA EKA ZA MBOWE MLAMBA ASALI NA CHUPA TAKE YA KONYAGI .Maccm hasa mafuasi ya yule gaidi mnaumia sana kuona CHADEMA inaendelea kuvutia watu kila wanapopita.
Na hizi ni rasharasha 2025 mtafute kwa kukimbilia
Ubongoni mwako kuna uharoUsicheze na kivuli cha JPM
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Mleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapa
we acha usagaji.Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.
Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.
Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?
Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Hao maeneo kama haya hauwezi kuwaona.Mmawia na erytrote njooni Mnaitwa huku