Wananchi wa Mbeya Waipa Adhabu CHADEMA

Wananchi wa Mbeya Waipa Adhabu CHADEMA

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,193
Reaction score
33,577
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.

Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.

Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?

Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
 
Nipo mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.

Wewe ni SUKUMA Gang?
 
Mleta mada acha porojo, Mbeya leo ni nyomi la kufa mtu. Ushahidi wa picha huu hapa
 
Attachments

  • images (37).jpeg
    images (37).jpeg
    33.7 KB · Views: 12
Maccm hasa mafuasi ya yule gaidi mnaumia sana kuona CHADEMA inaendelea kuvutia watu kila wanapopita.
Na hizi ni rasharasha 2025 mtafute kwa kukimbilia
 
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.

Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.

Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?

Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Utakua mchawi maana kila mahali upo!! Kuanzia sumbawanga hadi Mbeya kote upo? Halafu why huwa unakimbia nyuzi?
 
Kazi kubwa ipi ya Tulia? Kazi gani anaifanya Tulia mbeya zaidi ya kuzunguka msibani?. Nilishawaambia Mbeya wanahitaji 4 way kuanzia igawa mpaka songwe airpot kwa uchache. Na barabara ya maloli peke yake kule itua. Inaweza kuanzia mlima nyoka mpaka mbalizi . Hapo ndio kazi unaweza kusema kazi kubwa ya mbeya na wanambeya wakakuelewa
 
Huchoki kuongea uongo?

Na unaongea uongo kwa faida ipi hivi?
 
Mbunge kijana Tulia Ackson anatosha kwa Mbeya mjini. CHADEMA wakapambanie huko Hai labda wataambulia kitu.
 
Mleta mada unaleta porojo za mwaka 47 kama huna kazi tafuta mume akuweke bize.
 
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki chama zimetokana na nini, au huenda ni kazi kubwa inayofanywa na Spika wetu Mh.Tulia Ackson.

Chadema wanasemaga mbeya Ni ngome yao lakini hali imekua tofauti kabisa na walivyotegemea, wananchi wameamua kuwapa adhabu ya kutoshirikiana nao kwenye mikutano yao.

Kilichopo ni Wanachama wachache wameungana nao na wengine kutoka mikoa ya jirani ndio wapo nao. Wananchi wa Mbeya kwa nn wameamua kufanya yote haya?

Kama hali itaendelea hivi kuna kila dalili chadema wakashindwa kuendelea na mikutano mingine.
Kipofu anaposema ameshuhudia kwa macho yake, ujue sasa anaenda kwenye ulemavu wa akili.
 
Huchoki kuongea uongo?

Na unaongea uongo kwa faida ipi hivi?
Huyu sidhani kama tatizo lake ni kuongea uwongo, ana tatizo kubwa zaidi la kukosa hata ile akili ya kawaida.

Mtu mwenye akili timamu, hata akiamua kuwa shabiki wa chama cha siasa, hawezi kufanya kwa namna ya kijinga kama ya hutu bwana. Picha za mkutano na video simesambaa zikionesha hali ya mkutano wa Mbeya ulivyokuwa, halafu huyu mwehu anasema hakukuwa na watu!!

CCM iwatafute wapiga propaganda wenye akili timamu, la sivyo itaendelea kuonekana ni chama cha waliobeba ujinga.
 
Back
Top Bottom