Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

Hii mbaya sana, sio utamaduni wa sisi Watanzania. Dhambi hii ya mauaji haya itawarudia na hawatakaa watulie! Nawaombea wauaji wajute kosa lao na watubu, ama sivyo laana ya Mungu atatua hapo Igunga na itakuwa inanuka damu.
 
Walichokifanya wana igunga si haki kabisa. Hata kama ni fisadi haikuwa vema kumuua! Ninauchukia ufisadi lakini kwa ukatili huo! Hapana! Poleni wafiwa.
 
Kwa namna hii, Tanzania itaingia katika janga la machafuko hivi karibuni sana. Watu hawachukui hatua mikononi mwao isipokuwa wakati wamekata tamaa ya kuwepo sheria na kufuatwa.
Hii inaanzia juu huko.
 
Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.

Mwita i believe your protest of lawlessness is to the first killers of innocent citizen of Igunga on grounds of political disagreements. Only and only then it go to the angry people who were bereaved of the fellow villagers in cold blood.
 
Hii mbaya sana, sio utamaduni wa sisi Watanzania. Dhambi hii ya mauaji haya itawarudia na hawatakaa watulie! Nawaombea wauaji wajute kosa lao na watubu, ama sivyo laana ya Mungu atatua hapo Igunga na itakuwa inanuka damu.

Unaongelea wauaji wapi? Wale wa kwanza walioua wanavijiji kwa vile hawakuwapa kura au hawa wa pili waliiokata tamaa na mfumo wa sheria wa nchi yao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom