Wananchi "TUNAOMBA NAMBA YA SIMU YA SAMWELI SITTA

Wananchi "TUNAOMBA NAMBA YA SIMU YA SAMWELI SITTA

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,362
Katika pitapita yangu nimekutana na wananchi wakiwa kwenye vikundi tofauti tofauti wakiijadili kauli ya mwenyekiti wa bunge maalum la katiba ndg. Samwel Sitta ya kutaka ITV ishughulikiwe kutokana na kurusha hewa midahalo ya katiba,

Ikatolewa hoja kutaka kwenye namba ya Samweli awape raia "wamrukie hewani" kwa sms au kumtwangia kabsaaaaa ili wamtolee "nyongo" na wala si "kinyongo"

mwenye nazo namba za mzee huyu azitundike hapa kama wanavyotundikaga zile za kina dokta MATUNGE au wale wa kutoka naijeria.

NAWASILISHA.
 
wadau wana usongo wa kuwasiliana na sita kwa staili waliyoitumia kwa Ndugai na makinda.
patakuwa patamu hapa.
 
Jamani eeeeeeeeeh,
Hivi ni kweli Mmekosa namba za simu za Samweliiiiiiii
 
Kuna jamaa mmoja ambaye ni mkwewe hapa Usangi anazo ngoja nimcheki basi ntawawekea wadau

mkuu MTENGETI tafadhali timiza ahadi yako, ama tupe mrejesho tujue nini kimekutatiza.
 
Last edited by a moderator:
Katika pitapita yangu nimekutana na wananchi wakiwa kwenye vikundi tofauti tofauti wakiijadili kauli ya mwenyekiti wa bunge maalum la katiba ndg. Samwel Sitta ya kutaka ITV ishughulikiwe kutokana na kurusha hewa midahalo ya katiba,

Ikatolewa hoja kutaka kwenye namba ya Samweli awape raia "wamrukie hewani" kwa sms au kumtwangia kabsaaaaa ili wamtolee "nyongo" na wala si "kinyongo"

mwenye nazo namba za mzee huyu azitundike hapa kama wanavyotundikaga zile za kina dokta MATUNGE au wale wa kutoka naijeria.

NAWASILISHA.

Ujinga tu unamsumbua. Mbona Star TV walirusha mdahalo wa akina Lukuvi na Wasira Hajapiga kelele
 
Wakuu inaonekana no.za mzee 6 zimekuwa ngumu kupatikana?
 
First Name:
Samuel
Middle Name:
John
Last Name:
Sitta
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Urambo Mashariki
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O.Box 9000, DAR ES SALAAM
Office Phone:
+255 788 887 788
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
ssitta@parliament.go.tz
 
Haya sasa jana nimemsikia 6 anadai CDM wametoa numba yake kumbe hajui kuwa namba yake inapatikana kirahisi hivi!
 
Back
Top Bottom