Wananchi Songea: Lowassa ni mpango wa Mungu...

Wananchi Songea: Lowassa ni mpango wa Mungu...

hata KJ ilisemekna ivo ivo leo hii tupo wapi?

Nimekuaminia,

Huyu bwana wa sasa tuliambiwa kuwa ni mpango wa mungu. Na huyu naye ni mpango wa mungu? Kweli mungu hatupendi watanzania.

Watoto wanashindwa kwenda shule wakati mkuu wa kaya yuko busy kutafuta ambulance za dola 6000 @ kwa kisingizio cha kuaga. Dola imefika 2300 hakuna anayeshituka.

Hakuna kinachoenda sawa tanzania
 
Kushangilia umati bila kutafakari ni tatizo kubwa. Kosa la 2005 Lina nafuu kuliko lijalo
 
mjadilini na membe bc au wasira mbona wako wengi tu au bado kumuapisha....
 
Back
Top Bottom