Wananchi ndio wanafanya kuwa wewe kiongozi

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,683
2,000
.....baada ya hapo inategemea mfumo wa nchi upoje, Kiongozi anawapoteza wale wote anawaona ni kikwazo kwenye utawala wake.....Wananchi kupitia sanduku la kura au mashinikizo kupitia maandamano wanakutoa kwenye madaraka.
 

Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
2,449
2,000
Mbona sielewi...hao mbwa ndo wana nchi? Huyo jamaa ni raisi na camera ndo sanduku la kura au?
 

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,833
2,000
.....baada ya hapo inategemea mfumo wa nchi upoje, Kiongozi anawapoteza wale wote anawaona ni kikwazo kwenye utawala wake.....Wananchi kupitia sanduku la kura au mashinikizo kupitia maandamano wanakutoa kwenye madaraka.
Wananchi wa tanganyikan hawana uwezo wa kumtoa kiongozi madarakani labda hawa wa serikali za mitaa/vijaa.
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,938
2,000
Acha kudanganya watu, Maneno yangu mazuri na sera kabambe, pesa yangu ya kuhonga wenyeviti na madiwani, na ule uwezo wa kuwashawishi wawe upande wangu,

Mikakakti na mtandao wa wizi wa kura ambao nimeupanga ndo zinanifanya niwe kiongozi, Wananchi hawa mandondocha hawana jeuri ya kunichagua!

Nitaongoza kwa mujibu wa katiba niliyowapatia. na kuwasomea vifungu vya kunihalalisha, ambayo hata hamjawahi kuviona kwenye katiba wala hamuijui! achilia mbali kuiona tu!

Bora wasiendege huko kupiga kura, ukienda kushinda juani kunako masanduku ya kura unaonyesha ulivo punguani. upige usipiga rais ni Jiwe?
 
Top Bottom