Wananchi msije mkafanya hivi tafadhali

Wananchi msije mkafanya hivi tafadhali

Ngoma inageukaga....askari anaomba poo mwenyewe
 
Haha nakumbuka tulishawahi kumpasua askari tukamnyanganya kofia huko unga limited[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji61] [emoji61] [emoji61] tukamkimbiza vibaya sana alikuwa anatabia ya akiwa hana hela anakuja kitaa kutuzingua Bila sababu za maana sikuhiyo tupo zetu tu napiga mbuyu akaibuka Na mikwala Hahaha alikuona
 
Back
Top Bottom