Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

ukimwi ulivyo tulia kama haupo vile....na ukiingia hautoki
 


Wale waliokuja na agenda ya mkono wa sweta ndiyo waliokosea, waliwadanganya watu kuwa wakivaa vizibao hawaguswi, ona sasa takwimu zinatisha 10/hr/day maana yake nini baada ya miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…