watu wenye pesa wanapona saratani,wanaiwahi mapemaKuna dude linaitwa Saratani utumie pesa usitumie uende nchi yoyote mwisho safari iko pale pale
HatarUkimwi toleo jipya wagonjwa hawatishi wala nn. Wanajiamini kuliko wewe usie pima, wanamatumaini kumshinda mwenye ebola, wanafuraha kuliko mwenye kisukari.
Wanatimiza ndoto zao utafikiri wataishi milele.
Ukimwi sio utani, upo.
Baki salama.
Nje ya nchi au kijijini!!!!Kuna dude linaitwa Saratani utumie pesa usitumie uende nchi yoyote mwisho safari iko pale pale
Huo ugonjwa ulishaondoka tz labuda!!!!Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Sio madafu mkuu!!!!!watu wenye pesa wanapona saratani,wanaiwahi mapema
narudia WENYE PESA in dollars
madafu parapanda inalia fastaSio madafu mkuu!!!!!
mote upo kolomijeWakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
tembelea mahospitalini uone watu wanavyopanga foleni za kuchukua doziMkuu mi natembea sana sikuizi awaonekani awa jamaa.
Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha
Gridi ya taifa siku hizi ina waka kama taa za disko kidonge kimesaidia sana zamani mgonjwa anaonekana kama msomali..
Mbona steve jobs akupona alikuwa anapesa zakutoshawatu wenye pesa wanapona saratani,wanaiwahi mapema
narudia WENYE PESA in dollars
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Huone -uoneTembea huone
Achana na wachukia dozi kuna wale wagonjwa unakuta kitaa kizima akipita ata mtoto anajua mgeni akifika anapewa taarifa km ilivyo destur ya uswazi ndio siwaoni hao.tembelea mahospitalini uone watu wanavyopanga foleni za kuchukua dozi
Yaani wew ulivyo muoga parapanda inaweza ikalia na auna motto kisa umegonga peku tu af unajipa presha mwenyew.Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.
Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.
Hypochondriasis is real aisee
Ukimwi umeona tz vyuma vimekaza nao ukaondoka!!!!Umeenda lkzo subria lkzo yake iishe ndo utauskia tena