Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

Kuna gazeti liliwahi kuripoti kuwa nusu ya watanzania wana maambukizi ya VVU.
Gazeti hilo lilifungiwa... kumbe ukweli inawezekana
 
Mbona hiyo tume sasa imelala, no more campaigns, awareness etc
 
Endeleza upumbavu wako tu
hahahahaaaa
tusijetekana bure kijinga
mi sio CHADEMA
ila hivyo nlivyo vitaja ni sababu kubwa kabisa ya kuongeza maambukizi
nakumbuka mwaka 2010 UVCCM Mkoa kilimanjaro tulienda kambini West
wavulana 31
wasichana 27
tulikuwa tunachangia mradi kila mtu apate
ila tulivyorudi mjini CHADEMA walishinda
RIP NDESAMBURO
 
Tahadhari ya lazima tayari, pesa ya bia na gesti haipo.
 
Wakuu nimekuwa nikitafakari sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea kama sio kukaa kimya na kujifanya kama haupo vile kumbe hupo.

Maana siku hizi Magonjwa yanayotamba kwenye miili ya watu ni SUKARI na PRESHA. Swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekani kama zamani.
 
Ukimwi toleo jipya wagonjwa hawatishi wala nn. Wanajiamini kuliko wewe usie pima, wanamatumaini kumshinda mwenye ebola, wanafuraha kuliko mwenye kisukari.
Wanatimiza ndoto zao utafikiri wataishi milele.
Ukimwi sio utani, upo.
Baki salama.
 
Kuna dude linaitwa Saratani utumie pesa usitumie uende nchi yoyote mwisho safari iko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…