Wananchi Bukombe waomba Rais Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani

Tunajua hizo ndio chokochoko za madictator at a wakina kagame walianza ivi ivo na kusingizia wananchi nawaambieni watazania kuwa jpm ameanza kuandaa mpango yakubafili katiba aje kuongoza mpaka kifo
Kagame style
 
Kama anataka hilo akomae Thornton alete noah kwa kila mtanzania.
 
Ni watu wote wa bukombe au watu wawili watatu walio pata nafasi ya kukamata mic inakuaje mseme wananchi wa bukombe semeni watu wawili watatu ndio walisema ebbo!
Wote huko ni washamba na wajinga wajinga kwani walishangilia sana
 
Yaani Bukombe nzima ndiyo mawazo yao? Yaani wamekariri Akili za kagame wa Rwanda? Wakome wambieni wapeleke ujinga wao huko porini.
 
Wore wanaodai kuongeza mda wa madaraka sijui ata kama waliitimu darasa LA saba

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Mkuu hayo Ni maoni tu Ni vile sie wazalendo na wananchi WA nchi hii tunavyoona magu inabidi aongezewe muda wa kuiongoza na kuivusha nchi hii. Suala la kusoma au kutokusoma halina mashiko katika hili. Chinese, they do not give a damn about democracy but she is the one of super power. Hata huko mnakocopy democracy wanalia daily eg.USA.
 
Tutamwongezea muda tu maana hata huko masasi walipoomba che mkapa aongezewe muda tukamwongezea...na Jk naye huko bwaga moyo walipo liomba bunge libadili katiba ili aongezewe kipindi kutawala aliongezewa...
 
Wananchi wa vijiji vya Bulangwa na Katente mkoani Geita,wameliomba Bunge la Tanzania kufanya marekebisho ya muda wa ukomo wa urais kutoka miaka kumi ya sasa hadi miaka ishirini ili kumuwezesha Rais Dk.John Pombe Magufuli kuendelea kubakia madarakani.

Kwani asipoongezewa muda hawawezi kukaa nae huko kwenye vijiji vyao kwa kuwa na madaraka katika ngazi hizo?
 
Geita ndo NYUMBANI,wenye mwana wanampigia CHAPUO MTOTO WAO
 

Walianza hawa,wamefata watu wa Geita mkoa ambao una wilaya ya Chattle,kama mtakumbuka hata NKAPA kuna watu walijipendekeza ETI aongezewe muda wa kubaki Magogoni,kilichotokea leo MNALIA MAKINIKIA,na kuna viumbe walisema JK aongezewe muda,ila hili la JPM limenishtua maana watu wametoa hiyo hoja mapema sana hata kipindi cha I hakijaisha,huenda yeye mwenyewe nae ANAPENDA
 

Ujinga sio tusi, ila inafaa ujielimishe.
Jina lako lenyewe linakushtaki, hivi unasubiria ndani akasaidie jamii yako ijitambue.

Wewe wamekusomesha na ushamba wao huohuo badala ya kwenda kuwasaidia unawadharau.

Hujitambui
 
Ujinga sio tusi, ila inafaa ujielimishe.
Jina lako lenyewe linakushtaki, hivi unasubiria ndani akasaidie jamii yako ijitambue.

Wewe wamekusomesha na ushamba wao huohuo badala ya kwenda kuwasaidia unawadharau.

Hujitambui
Shule zilijengwa za nn? Waache waandamane mpaka wachoke. Waende wakamuulize mwenyekiti wao wa mtaa na walimu wao watawapa jibu. Si lazima nifike huko kutoa elimu.
Dogo ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia wanashindwa kujifunza kuhusu masuala ya katiba. Wengine wanamisimu mikubwa kama mshamba huyu spencer, kazi kuingia facebook, whatsapp na kuangalia picha za uchi. Watu wote hao hakuna mwenye akili hata mmoja?
Bora hata mm Masanyiwa. Ww spencer-mke wa mzungu
 
Reactions: SDG
tupe tathimini tu ya wananchi wenye elimu ya darasa la saba ni asilimia ngapi achana na hilo idadi ya wakaazi wanaojua kusoma na kuandika ni aslimia ngapi..basi
 
tupe tathimini tu ya wananchi wenye elimu ya darasa la saba ni asilimia ngapi achana na hilo idadi ya wakaazi wanaojua kusoma na kuandika ni aslimia ngapi..basi
Kwa mtu mwwnye akili timamu na ni educated hawezi kufanya ujinga wa kuandamana ili kiongozi fulani aongezewe muda.
Hiyo haipo hata km angekuwa malaika. Inafika wakati wazungu wanatudharau sana, unafikiri kwa nn walitufanya watumwa? Kwa akili hizi hizi.
 
Hivi Bukombe ndio wapi? Nyie CCM mwambie mzee michezo hiyo ya harakati zake za pimbi huwa mwisho wake mbaya akitaka kujua watanzania ni wakorofi mwambieni alete utusi n uhutu wa Rwanda hapa kwenye nchi yetu.... Hao wajinga anaowaleta akamuulize Komandoo zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…