Magufuli hajafikia kupendwa na kuaminiwa kama Jakaya.
Safari hii watanzania wakiirudisha tena CCM madarakani, basi wajilaumu wenyewe kwa ujinga wao.
Watu wanamsubiri hata usiku kwanini wasiirudishe?Safari hii watanzania wakiirudisha tena CCM madarakani, basi wajilaumu wenyewe kwa ujinga wao.