Wananchi Arusha wapanga foleni Bank ya CRDB kulipia sukari .

Niliposoma hii kitu mchana nilibisha moyoni kwangu, lakini nilipotaka chai ya jioni nimekubali. Mttani kwetu kuna maduka matatu na siku zote haukosi bidhaa yeyote. Cha ajabu ni kwamba maduka yote matatu hayani sukari na wanasema ni kutoka juzi na hawategemei hivi karibuni maana foleni ni ndefu sana....


TPc haiko mbali ni hapo Arusha chini, hectors za kutosha za miwa. Wanazalisha vyakutosha, sema yule kaburu anauza nje ndani tunakosa sugar....

Tanzania haifiki mbali
 
Back
Top Bottom