Wananch wamelala kuhusu kujilinda wenyewe – Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananch wamelala kuhusu kujilinda wenyewe – Mwema

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by omujubi, Aug 16, 2012.

 1. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema amesema hadi sasa asilimia 89 ya Watanzania wanaamini jukumu la kulinda maisha na mali zao linahusu polisi na Serikali, kitu ambacho siyo sawa.

  Akipokea zawadi kutoka Benki ya Exim kwa ajili ya askari watano kutokana na utendaji kazi bora, Mwema alisema takwimu zilizopo zinaonyesha mwamko wa Watanzania kuelewa na kushirikiana kulinda mali zao, bado uko chini kwani ni asilimia 11 ndiyo imeamka na kuelewa.

  Je, kwa mwendo huu tutafika huko tunakokwenda!??

  Source: Mwananchi 16 Agosti 2012
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Kwani polisi wameajiriwa kwa kazi gani au wanafikiri kuzuia maandamano ndio kazi yao.Wakati madaktari wanalalamika juu ya ukosefu wa nyumba wao wamejengewa na mifuko ya wafanyakazi ingawa wafanyakazi wakigoma wao ndio wa kwanza kwenda kuingilia kati.tatizo la uteuzi wa kujuana lakini kuna tofauti kubwa ya utendaji wa wakuu wawili wa polisi wawili waliopita na wakuu wa polisi waliokuwepo kabla ya hapo.Hao wawili wamekuwa karibu zaidi na wafanyabiashara kama Mahita alivyoenda kufungua duka la kajumulo.
   
Loading...