Wanamuziki wetu wa kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanamuziki wetu wa kibongo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by LEONELL, Apr 4, 2012.

 1. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hivi jamani inakuwaje pale wanamuziki wetu wanapodai eti wameibiwa mistari au mashairi yao.., kwa mfano juzi kati kulikuwa na bifu kati ya rich mavoko na dogo mmoja hivi kuhusiana na wimbo wa follow me..hivi ishu inakuwaga ni nini wataalamu wa mambo.......ts dj cousin lee@
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hujawahi kuibiwa kabisa hadi usijue kuibiwa ni nini???
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi huwa unakitabu cha majibu ya maswali yote humu...loh!...umetisha!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ngoja madj na maprojuza wenzio wa jf waje!...
   
 5. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tehe tehe tehe haya bhana.. ze ishu cyo kuibiwa bro ni kwamba inakuwaje unakuta msanii unakaa ukidai umeibiwa mashairi.., mi naona kama kweli wewe ni msaii mzuri na unajiamini unakipaji huwezi kukaa ukichonga kwa wimbo mmoja....
   
Loading...