Wanamuziki Bora wa Kikongo!nilicheza na kuvua shati...!

Wanamuziki Bora wa Kikongo!nilicheza na kuvua shati...!

Jamani enzi zile hatukuishi kwa kutegemea hela sana na maisha yalikuwa murua sana sio kama haya ya mafisadi CCM. Nilifurahia nyimbo za Aurlus Mabele (LOKETO). Kuna siku tuko kwa jirani akasema eti nina masikio makubwa namaliza betri. Loh maisha yale ilikuwa rahaaaaaaa. Mkuu Lady A, uko wapi tucheze bolingo?
 
The Best of the Best TP OK Jazz (June 1956-December 1993), Mwanamuziki Bora FRANCO, Mtunzi bora LUTUMBA Simaro. Radio Troittor, Mbongo, Maya, Mario, Mamou etc. Bendi iliyotimia idara zote.
 
Mbongo ya Mayaula Mayoni 1992. Ilitesa mbaya. Naskia jamaa wkt huo alikutana na mdada wa kitz mpaka sasa wanadai anaishi kishansa na kinondoni pasu pasu.
 
Mbongo ya Mayaula Mayoni 1992. Ilitesa mbaya. Naskia jamaa wkt huo alikutana na mdada wa kitz mpaka sasa wanadai anaishi kishansa na kinondoni pasu pasu.

Mayaula is no more...
Hizo story zenu za kwenye vibanda vya gongo mziachage mumo humo...
 
douce isabelle,embargo,rosine na zenab za loketo zilikuwa zinanibamba,nilikuwa namuiga mabele ile style ya kama unadondoka halafu unagaili unarudi juu,..good old days.

aibuuuu...
Ilikuwa balaa
 
Nilizaliwa na kuishi uswahilini sana ambako vilabu vya gongo vilirindima muda wote...sitasahau wimbo wa Muchana kanda bongoman.

Ingawaje hatukuwa na fedha, lakini maisha yalikuwa na maana kubwa kwetu. Tulikuwa na furahaa.

topten ya nyimbo zinazotamba ubanda...
10. 20% - Money money
9. Rose muhando - Kiatu
8. "Daimondi" - nataka kulewa
7. Bongoman - inde monie
6. Bony Mwaitege - matendo
5. Madee - nani kamwaga pombe yangu
4. $oukous stars - rossy
3. pepe kalle - poumoun mpaka boujhee
2. Yondo Sister - mbuta mutu
1. Diblo yankomba Dibala - OK Madame

imetafitiwa na Gang Chomba na kuandikwa na Shifta.
 
Ha ha haaaa! Umenikumbusha mitaa ya Furahisha, kitu Utanitambuaje kama numeokoka!
Zikipigwa za wakongo hapo mlevi wa pombe za kienyeji atasahu hata kama kuna kurudi nyumbani. Atakunywa mpaka senti ya mwisho!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nilizaliwa na kuishi uswahilini sana ambako vilabu vya gongo vilirindima muda wote...sitasahau wimbo wa Muchana kanda bongoman.

Ingawaje hatukuwa na fedha, lakini maisha yalikuwa na maana kubwa kwetu. Tulikuwa na furahaa.

Status yako ina maana kubwa sn,ina mnato na tafakari pamoja na funzo.Hasa hapa "Ingawa hatukuwa na fedha.........................."
 
Mbongo ya Mayaula Mayoni 1992. Ilitesa mbaya. Naskia jamaa wkt huo alikutana na mdada wa kitz mpaka sasa wanadai anaishi kishansa na kinondoni pasu pasu.
Kie Kie Kie Kie mara ya mwisho tulikua tunacheza nae draft magomeni
 
Eyo pino la mwetange kokang'aka moto e kokiii kopesa tee motolioomaaa folii ya lamuuee kozala kane somo sokie make mokoo ekokota katina makilae kotambula enzoto mobimba ilokolo la mwesomo sokie make moko o kati ya motemaa

kotika tee by mayaula mayoni noma saaaana
 
Back
Top Bottom