Tunazidi kuwakaribisha waombaji ktk roho na kweli popote pale walipo kujiunga nasi katika mtandao mpya kabisa wa wanamaombi unaotarajiwa kuzinduliwa mwezi Novemba mwaka huu.
Lengo kuu la mtandao huu ni kuungana pamoja katika vita vya kiroho kumpinga na kumwaibisha shetani na jeshi lake pia tutajihusisha na uenezaji injili, maombezi, kutiana moyo wakati wa matatizo, n.k
Kama unawiwa kujiunga nasi tuna sms ya jina lako kwenda 0767840793 ili uorodheshwe na mengi utajuzwa kupitia simu. SIFA:Uwe mwombaji uliye mfu wa dhambi na unayetegemea uongozi wa ROHO MTAKATIFU katika maombi yako.
KATIBA yetu ni Biblia takatifu, miongozo na kanuni itatungwa na wanamtandao wenyewe wakati wa mkutano wa uzinduzi na uchaguzi wa viongozi.
KARIBU TUMTUMIKIE BWANA