technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
YANGA ni team ya wananchi, bila kujali tofauti za kisiasa kila mtanzania kwa asili ni mwanayanga, kama hutaki jinyonge.Rostam ni mwanamtandao na ni yanga
Kikwete Ni mwanamtandao na ni yanga
Fatma Karume
Mwigulu
Hersi
Mavunde
Ridhiwani
GSM
Maulidi kitenge
Na wengine list Ni ndefu
Sio bahati mbaya yanga Kutoa million 100 kwa Samia
Huu mtandao ni ngumu Sana kuuangamiza
Unamaanisha wanayanga ambao ndio wananchi wa Tznia ukiwemo wewe ni wapumbavu.Yanga timu ya Kipumbavu
Simba ni zao la YangaYanga timu ya Kipumbavu
Astakhfillullah mtanisamehe waislamu kama nimekosea kuandika hilo neno kwa ufasaha.YANGA ni team ya wananchi, bila kujali tofauti za kisiasa kila mtanzania kwa asili ni mwanayanga, kama hutaki jinyonge.
HahahahaYANGA ni team ya wananchi, bila kujali tofauti za kisiasa kila mtanzania kwa asili ni mwanayanga, kama hutaki jinyonge.
Nasema uongo ?Hahahaha
Akili yako bhana
Mkuu una Uhuru wa kutoa maoni ili mradi hujamsema mfalme/Malkia na utawala wakeNasema uongo ?
Kila mtz ni mwanayanga aidha kwa kujua au kutokujua.Astakhfillullah mtanisamehe waislamu kama nimekosea kuandika hilo neno kwa ufasaha.
Kwahyo kijana umeamua kututukana kwa kutuita WaTanzania wote ni Yanga.
Takuburuza mahakamani iwe mfano kwa wengine wasio na adabu kama wewe.
Mfalme juha au Malkia juhaMkuu una Uhuru wa kutoa maoni ili mradi hujamsema mfalme/Malkia na utawala wake
HahahahaMfalme juha au Malkia juha
Nikiwasha VPN nipo DubaiHahahaha
Hapo chaguo ni lako
Wee em tutolee upuuzi wako huko! Takadini alisha sema, utopoloni wenye akili ni wawili tyuuh, na aliwataja, wee hauko.Kila mtz ni mwanayanga aidha kwa kujua au kutokujua.
Unakosea sana mdogo wangu, ila shemeji yetu akishakutuliza akili yako itarudi kwenye mstari.Wee em tutolee upuuzi wako huko! Takadini alisha sema, utopoloni wenye akili ni wawili tyuuh, na aliwataja, wee hauko.
Em tulizana mpumbavu weyee, πππππ