utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Hivi huu si uchochezi wa wazi kabisa,
CCM si mmefanya ziara zenu za Dr. Slaa zinawaunia nini?
Hekima na busara ni kitu muhimu sana katika siasa za Tanzania.Unaona kabisa kuna bango limeandikwa marufuku kuoga hapa kuna mamba wakali wewe unaoga unategemea nini.
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.
My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.
Kwa kiswahili cha mjini, Slaa kaishiwa vocha!Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.
My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.
My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.
Hivi huu si uchochezi wa wazi kabisa,
CCM si mmefanya ziara zenu za Dr. Slaa zinawaunia nini?
Huyu mzee anachokifnya ni kutaka huruma ya watanzani,haiwezekan ukaambiw sehemu unayotaka kwenda kufnya mkutano siyo salama bado unalazimisha,ni ili akiumia huko watz wamuonee huruma sasa naliomba jeshi la polisi lizuie huo mkutano hadi hapo hali itakapo ruhusu,nadhan huyu babu yale magonjw ya uzeen yameanza kumwandama