Wanakigoma: dr slaa asilazimishe kuhutubia kigoma.

Status
Not open for further replies.

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.

My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.
 
Huyu mzee anachokifnya ni kutaka huruma ya watanzani,haiwezekan ukaambiw sehemu unayotaka kwenda kufnya mkutano siyo salama bado unalazimisha,ni ili akiumia huko watz wamuonee huruma sasa naliomba jeshi la polisi lizuie huo mkutano hadi hapo hali itakapo ruhusu,nadhan huyu babu yale magonjw ya uzeen yameanza kumwandama
 
Unaona kabisa kuna bango limeandikwa marufuku kuoga hapa kuna mamba wakali wewe unaoga unategemea nini.
 
Hivi huu si uchochezi wa wazi kabisa,

CCM si mmefanya ziara zenu za Dr. Slaa zinawaunia nini?

Unajua, ukishakuwa mtu mzima halafu ukafanya vitu vya kitoto hadharani nawe unakuwa mtoto pia. Hapa ccm imeingiaje? Pokeeni ushauri wa wananchi wa kigoma acheni ujinga
 
Unaona kabisa kuna bango limeandikwa marufuku kuoga hapa kuna mamba wakali wewe unaoga unategemea nini.
Hekima na busara ni kitu muhimu sana katika siasa za Tanzania.
 
Kusikiliza mkutano wowote ni haki na uhuru wa mtanzania yeyote.Hakuna anayelazimishwa kwenda kumsikiliza huyo Dr.Slaa.Iwapo wanakigoma hatumtaki Dr.Slaa asikuhutubie unaendelea na shughuli zako nyingine za kujitafutia kipato.Hakuna sababu ya kuzusha ghasia kwa maamuzi ambayo yamefanyika.Kwa watu ambao wanawafamu vizuri watu wa kigoma watagundua kuna watu wanajificha nyuma ya watu wa Kigoma.
 
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.

My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.

Hebu tuwe wakweli hapa, ni watu wa kigoma hawataki au watu wa Mwanza hawataki Dr. Slaa ahutubie Kigoma?
 
Mkuu hoja si Dr Slaa asiende Kuhutubia Kigoma hoja ni je atapata watu wa kuhutubia? Kama mnajua hamtakwenda kumsiliza atahutubia nani si atahutubia hewa kama Kinana kule Njombe?Sasa shida yenu ya kumzuia asiende ni kwa vipi? Mwacheni ajionee mwenyewe kwa kukosa watu,adhawasi mnaogopa kuumbuliwa na wana Kigoma wanaopenda mabadiliko na wanaojua tabia za watoto za za kutanguliza njaa mbele.
 
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.

My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.
Kwa kiswahili cha mjini, Slaa kaishiwa vocha!
 
Hata kama unaichukia chadema namna gani katiba inasemaje kuhusu mtanzania kwenda sehemu yoyote nchini? hayo maneno unayozungumza umenukuu kifungu gani cha katiba? hvi watanzana mbona tuko hivi? je Slaa kuwa chadema kunamondolea haki yake kama mtanzania kwenda kigoma? je, wewe ni msemaji wa wanakigoma? acheni upuuzi wenu huko
 
Hivi huu si uchochezi wa wazi kabisa,

CCM si mmefanya ziara zenu za Dr. Slaa zinawaunia nini?

Halafu walienda na jimbo langu wakapokewa na watoto hama ma-sisiyemu, huyu siyo wanakigoma wala sio msemaji wa wanakigoma! kila mtu ana anachokiamini hivyo asitusemee mioyo yetu! kwa taarifa tu wananchi wa jimbo la kigoma kaskazini hawamtaki zito kabwela. Alipita ubunge kwasababu ya hila za sisiyemu kumkataza mgombea wao kupiga kampeni
 
Huyu mzee anachokifnya ni kutaka huruma ya watanzani,haiwezekan ukaambiw sehemu unayotaka kwenda kufnya mkutano siyo salama bado unalazimisha,ni ili akiumia huko watz wamuonee huruma sasa naliomba jeshi la polisi lizuie huo mkutano hadi hapo hali itakapo ruhusu,nadhan huyu babu yale magonjw ya uzeen yameanza kumwandama

unaliomba jeshi la polisi lizuie, we kama nani? ok kachukue bk9 yako maana nasikia naww upo kwenye list ya walio ongezewa mshahara
 
CHADEMA ni chama cha siasa na kina haki ya kufanya siasa, na siasa katika hadhira ya wazi hailengwi kwa wanachama peke yao bali ni kwa jamii yote ya eneo hilo wanachama na wasio wanachama.

Hao wanaofanya fujo wanamwakilisha nani na kwa maslahi ya nani?

CDM wamepata baraka za kufanya siasa ktk eneo husika sasa kama kuna mtu hahitaji kusikiliza basi abaki nyumbani na afanye shughuli zake.

Uhuni unaofanyika sasa haiwasaidii CCM, wakazi wa kigoma wala watanzania.

Nalisihi jeshi la polisi kuchukua nafasi yake kama chombo cha ulinzi wa raia na mali zao bila kukwepa au kukimbia kutoa huduma hiyo kwa CDM hata kama ni mpango wa watu waliowaajiri.
 
Kama jina lako lilivyo imebuma rais Wa migomo,ziara kama kawaida,hakuna kulala.
 
Hayo ni maneno yanayozungumzwa na wananchi katika maeneo mbalimbali hasa vijiwe vya vijana mjini kigoma, ujiji. Kwa sasa wanakigoma wamepandwa zaidi na hasira baada ya vurugu za kasulu zilizosababisha wenzao kuumia kwa mabomu yaliyorushwa ktk harakati za kutuliza ghasia hadi mkutano ukavunjika.
wanachama wa chadema wameendelea kurudisha kadi za chama hicho wakidai kuwa chadema ya leo sio ile waliyokuwa wanaifahamu iliyosikiliza maoni ya wananchi, imekuwa sikio la kufa.

My take. Dr slaa aache ukaidi, apokee ushauri kwa faida yake, chama chake na nchi yake.

Mtabadili sana ID lakini hazitasaidia kitu, Mwanzoni si mlisema asikanyage Kigoma? sasa imebadilika kutoka kuto kanyaga mkoa wa Kigoma na kuwa kuto Kanyaga Kigoma Mjini, Baadae mtasema asikanyage hotelini Kigoma na baadae mtasema asiondoke Kigoma, Wajinga sana nyie, some time muwe mnatumia huu muda kueleimisha ndugu zenu kule Kijijini.
 
CDM inabidi tujipange upya, kama mzee wetu mandela alivyowasamehe waliotaka kumuua Enzi za harakati za kikabulu, Chadema na sisi inabidi tuwasemehe watu ili tusonge mbele. Kiburi na kujiamini kupindukia kutatufikisha pabaya.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom