Wanajukwaa hivi mkopo utawasili lini vyuoni, msaada jamani

JUNK MASTER

Member
Aug 14, 2012
84
18
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU MIMI NI MWANACHUO MTARAJIWA NINGEPENDA KUJUA WAKATI HALISI WA KUWASILI KWA MIKOPO VYUONI HASA CHUO CHANGU ST. JOSEPH KWA YEYOTE AJUAYE:biggrin:
 
kama kuyarelease kwenye mtandao wamechelewa hivi unafikiri watawahi kweli kutuma pesa ila tusubiri tuone
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom