Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Indume Yene,
Tafadhali sana ndugu naomba utoe maelezo ya hii picha kama utaweza. Imepigwa wapi na lini, ukiweza hata jina la mpiga picha ili kumshukuru kwa uhisani wake.
Sijawahi kuudhika namna hii asubuhi asubuhi kwa kuona picha. Kama hao watoto hizo si uniform zao za kila siku za shule; haki ya nani tena hii ni hujuma kubwa sana kwa watoto hawa.
It's revolting and utterly despicable!! 🙁
Yaanio haya mambo ya mwaka 47 yamerudi tena? Kweli CCM iko desperate
hawajui walitendalo, ole wao wanaowalazimisha watoto hao kufanya madudu wasioyajua, mwisho wao umekaribia sana.
Hao watoto hawajui masikini na ndio maana hata suruali walizovalishwa ni kaboka na inasikitisha zaidi huyo anaepita kati haangalii viatu vya vijana,PUMBAVU KABISA