Ndugu sasa itkuwajeHapana huwezi
Huna jinsi inabidi ukubaliane na matokeoNdugu sasa itkuwaje
Nitajaribu kuforce stop wakati msg zinaingia nione.Badili namba unayotumia kwenye WhatsApp halafu hiyo namba usiwape ambao hutaki wakutumie msg.
Mi nilitaka zisiingie kabisamute zinaingia kimya kimya
Left afu set only pepole in your contacts can add you into groupsMi nilitaka zisiingie kabisa
Left afu set only pepole in your contacts can add you into groups
Nitajaribu. .Kabla ya kufuta WhatsApp, left kwanza kwenye hayo magroup.
Upo kwenye grup afu hutak msg... Si uleft.
Pale file linaporudi msg zinaingia kama vita.Left in Peace