Wanajiuliza nafanya kazi gani

Wanajiuliza nafanya kazi gani

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Aisee katika kitu ambacho nakichukia hapa mtaani yaani watu kuhoji kazi ninayoyofanya unakuta jitu linamuuliza mtu eti jamaa anafanya kazi gani mbona anaishi vizuri. Hawajui Mimi kazi yangu ni kubeti nina mtaji wa million 2 nautumia kubetia.

Sasa hapa mtaani nawashangaa wanataka kujua kazi yangu wakati sijawahi ingia ndani kwao kuiba, najuta kujenga uswahilini aisee.

Hivi na nyie wenzangu mshawahi kukutana na hii ishu maana ni kama kuingilia uhuru wa maisha ya mtu ambaye wewe hajawahi kuuliza kazi unayofanya.
 
Back
Top Bottom