Wanajisikiaje mioyoni mwao

ntahagaye

Member
Feb 28, 2013
92
0
wale mamluki na masalia waliotoka chadema kwa kukashifu viongozi na kuwatukana kwa dhihaka sasa hivi wanaficha wapi nyuso zao kwani viongozi wale wale waliowatukana wanakutana nao tena wakiwa wamevaa koti la UKAWA je watoondoka au watabaki
 
bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
wale mamluki na masalia waliotoka chadema kwa kukashifu viongozi na kuwatukana kwa dhihaka sasa hivi wanaficha wapi nyuso zao kwani viongozi wale wale waliowatukana wanakutana nao tena wakiwa wamevaa koti la UKAWA je watoondoka au watabaki

Walikuja bila kujua kuwa watu wako na umakini kuleta mapinduzi ya kimfumo wakadhani ni kama bado vyuoni ambapo kunakugombania umonita. Hapa ni front line kama jinsi marekani alivyouita mpambano wakumuondoa Saddam, "A war of all fronts" Ifikapo hapo huwa ni kutii amri bila maswali. Mambo ya utawala ulioje ni baada ya ushindi ambapo adui ni mfumo ufisadi na rushwa unaopiganwa na batallioni iitwayo ccm. Kushinda lazima.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom