Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
Watakuambia wenzako...Kwahiyo unajionyesha unaishi Den Haag ili upate nyumbu wengi
Utasubiri sana kwa maisha ya Kringloop huko
Ni matumaini yangu wenye hekima watatawala katika kuamua kuua au kuacha vitu viharibiwe tu ikibidi. Kama bado wanafikiria kutetea mali na kuua miili basi wafikirie tena. Dunia haijawahi kufanya kumbukumbu ya mali zilizoharibiwa, majumba au ofisi zilizochomwa moto. Hakuna minara ya kumbukumbu za majengo yaliyoharibiwa katika vurugu nchi yoyote! Tutaona kama ndugu zetu hawa somo hili wanalielewa au bado wanaendelea kulinganisha uhai wa watu na mabasi ya mwendo kasi...
Lakini, vyovyote ilivyo wao waendelee kupanga wanachopanga, na sisi tunaendelea kupanga tunachopanga...
Shule ulikua unakunywa kamasi tu,hata kutoa mfano huweziHivi niulize swali,nimekuta kesi za watu wawili sehemu,mmoja kaharibu nyumba ya mtu pamoja na kuichoma moto gari ya mtu,na mmoja kauwa watu 10000+tena kwa kukusudia kwa kutumia risasi za moto,ni yupi ana afadhali kwenye hii kesi?
Hii inchi ina sheria zake,mhalifu huwa anafikishwa mahakamani,nikuulize nani kafikishwa mahakamani kwa kuharibu amani,na je kama mtu kavunja amani ni sahihi kwa hii serekali kujichukulia sheria mikononi mwake kuuwa halaiki ya watu?msijifiche kwenye kichaka cha kulinda amani kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia,JWTZ huwa wanaenda congo kulinda amani mbona sijawahi kusikia wameuwa raia wa huko kwa kigezo cha kulinda amani?iweje hapa kwetu jeshi pamoja na polis wauwe raia kwa kigezo cha kulinda amani?acha upumbav nduguView attachment 3512501
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
Nimeuliza swali,ww unatakiwa kunijibu,halafu kama ww una hilo swali lako ungeuliza wewe unavyoona inafaa,hili ni jukwaa huru nakushangaa ww msomi unawafundisha watu kuuliza maswaliShule ulikua unakunywa kamasi tu,hata kutoa mfano huwezi
Uliza hivi askari kumfumua risasi mhujumu miundombinu ya umma na binafsi,mnyang'anyi mporaji wa mali za watu,muua polisi, mfanya mapinduzi ni halali?
Sasa hapa nani kilaza?nakujibu askari hana sheria ya kumfumua ubongo anae haribu miundo mbinu,askar hapaswi kumfumua mtu risasi mporaji wa mali za watu,muuwaji wa polis anatakiwa kufikishwa mahakamani kwa kesi ya kuuwa,na kuhusu uhaini ni mahakama ndiyo inayotoa hukumu kwa muhaini na sio polis kumfumua mtu risasi,rudi kwenye post yangu sasa ujibu swali langu kilaza wahed,ona sasa mmeshauwa maelfu yawananchi wasio na hatia kwa akili zenu zilivyokuwa finyu.Shule ulikua unakunywa kamasi tu,hata kutoa mfano huwezi
Uliza hivi askari kumfumua risasi mhujumu miundombinu ya umma na binafsi,mnyang'anyi mporaji wa mali za watu,muua polisi, mfanya mapinduzi ni halali?
Kwahiyo unajionyesha unaishi Den Haag ili upate nyumbu wengi
Utasubiri sana kwa maisha ya Kringloop huko
Kuna Rais wa Ufilipini Rodrigo Durterte huko mahabusu hapa The Hague...Kuna Raisi mwingine atakuja kuungana hapaBro sio jokes, watu walio gerezani Den Haag wengine ukija kusikia majina utashangaa.
Nakuona Mzee.
Ni matumaini yangu wenye hekima watatawala katika kuamua kuua au kuacha vitu viharibiwe tu ikibidi. Kama bado wanafikiria kutetea mali na kuua miili basi wafikirie tena. Dunia haijawahi kufanya kumbukumbu ya mali zilizoharibiwa, majumba au ofisi zilizochomwa moto. Hakuna minara ya kumbukumbu za majengo yaliyoharibiwa katika vurugu nchi yoyote! Tutaona kama ndugu zetu hawa somo hili wanalielewa au bado wanaendelea kulinganisha uhai wa watu na mabasi ya mwendo kasi...
Lakini, vyovyote ilivyo wao waendelee kupanga wanachopanga, na sisi tunaendelea kupanga tunachopanga...
Absolutely mwanangosha...sikuwahi kufikiria nitapita pande hizi..hawa watu wametufanyia vibaya sana...Nakuona Mzee.
Natumaini kilichokufikisha huko ni kizuri.
Yaaani...Ukisikia kinachofanywa na waendesha mashtaka wa hapa is beyond professionalism...a meticulous analysis of every word and action prior, on, and after those days. When the arrest warrants are issued watu hawataamamini majina.Waue tena au wasiue, sisi tutawaswaga ICC.
Walichofanya Oktoba 29 - Novemba 3/4 ni zaidi ya kinachohitajika kuwafunga maisha na ushahidi uliopo ni compelling.
Mkuu 'Bobwe2'Hivi niulize swali,nimekuta kesi za watu wawili sehemu,mmoja kaharibu nyumba ya mtu pamoja na kuichoma moto gari ya mtu,na mmoja kauwa watu 10000+tena kwa kukusudia kwa kutumia risasi za moto,ni yupi ana afadhali kwenye hii kesi?
Haya yote hayatawafanya msalimike, ujumbe halali ndio huo.Shule ulikua unakunywa kamasi tu,hata kutoa mfano huwezi
Uliza hivi askari kumfumua risasi mhujumu miundombinu ya umma na binafsi,mnyang'anyi mporaji wa mali za watu,muua polisi, mfanya mapinduzi ni halali?
Mmechagua njia ovu itakayowamaliza nyinyi wenyewe.View attachment 3512501