Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,554
- 105,336
Hii star light bar niliwahi kuharibu pale vibaya siku zileee za ujana wangu aiseeee.....National karibia na star light bar au National ipi?

Hii star light bar niliwahi kuharibu pale vibaya siku zileee za ujana wangu aiseeee.....National karibia na star light bar au National ipi?

Maana ulivyoitaja kama unatest flani hiviHe hee
Kwasasa nipo arusha, nikirudi Mwanza nitakutafutaNipo nyegezi

Vijana hamchelewi kunusa maandishi ya jinsiapendwa..Nipo mwanza pia bi mdada
Nimetamani kupombeka aiseeee...Mimi np hapa villa park hasa usiku...

Ha haaa uje na sukari kg12Kwasasa nipo arusha, nikirudi Mwanza nitakutafuta
Tehh...teehhh.....![]()
![]()
![]()
![]()
Nyegezi California pazuri sanaNyegezi carlfonia
Ni mwendo wa kukojozana mkuuVijana hamchelewi kunusa maandishi ya jinsiapendwa..![]()
Haya kamateni fursa hiyooo

Nyegezi sehemu gani?Nipo nyegezi
Hebu ngoja niulize wenyejiNyegezi sehemu gani?
Unapafaham mkuu??krbun sanaNyegezi California pazuri sana
Hahahaaaa nilitaka nikuletee zawadi, teyari umeikosaHebu ngoja niulize wenyeji
Us'nfanyie hivo bhana!Hahahaaaa nilitaka nikuletee zawadi, teyari umeikosa
Nitawatuma DHLUs'nfanyie hivo bhana!
Okey...Nitawatuma DHL
Ndiyo napafahamuUnapafaham mkuu??krbun sana