WanaJF wa Dodoma, changamkieni fursa hii

WanaJF wa Dodoma, changamkieni fursa hii

Evelyn Salt

Platinum Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
77,672
Reaction score
167,738
Habari Wapendwa.
Napenda kuwataarifu kuhusu Mafunzo ya ujasiriamali kwa wakazi wa mkoa wa DODOMA
Darasa litahusika na mafunzo ya kutengeneza sabuni za mche, sabuni za unga, sabuni za maji na shampoo
Pia kutengeneza mishumaa ya kila aina
Gharama ni elf 50 siku tatu hadi tano itategemea na kasi ya kuelewa

Darasa litakua mwisho wa mwezi huu wa pili SIDO DODOMA

Kwa ambaye yupo interested na maulizo yoyote tuwasiliane kwa PM
Nb: darasa ni watu kumi tu.
Valentine njema kwenu
 
unasahau njia ya kwenda kwako? seriously??

Unajua huyo binti kazoea majukwaa mawili humu JF...

Mkuu nahisi hujawahi kukutana na stress wewe, yaan unaweza kupata stress wakati unarudi nyumbani kwako mpaka ukapasahau...
 
Back
Top Bottom