Weka picha ya huyo mkeo ili wadau wampime TBS yake, uone kama watu hawajammwaga from all angles. Mambo ya kusifiana uzuri yako Facebook bana.
hata sisi tuna waume zetu wachapakazi kuliko kitu cha aina yoyote......we karibu dar kama ni kwenda viwanja tutakwenda....
Hahaa karibu Sinza tunapokaa wajanja.Tunashusha Serengeti baridii mida hii hapa City Style.
nipo Dar....karibu jijini.....nitakupeleka Piccolo tukale samaki......au wewe unapendelea kwenda wapi......?
Mie napendelea kwenda kula mihogo coco beachnipo Dar....karibu jijini.....nitakupeleka Piccolo tukale samaki......au wewe unapendelea kwenda wapi......?
Mupirocin Safi sana LIKE...............Maadam anapendeza machoni pako nani mwingine wa kumtoa kasoro mbele zako? Furahia kichuna chako period!!! Rafiki yangu anamwita wa kwake "Miss world wangu"aka Cat, kuwa mzuri kwangu si lazima awe mzuri kwako, na ndiyo maana nilimuoa mimi na hakuolewa na mtu mwingine.
Ndo malkia wangu jina lake pia naitwa Queen au Regina kwa lugha nyingine.
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.
njoo basi hapa triple M....tule samaki wa foil....
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.