Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 347
WanaJF tuwe makini jamani la sivyo hili jamvi litapoteza heshima. Jana kulikuwa na taarifa mbili hapa jamvini ambazo zilikuwa za uongo. Moja ilihusu Lyatonga kujitoa kugombea ubunge na nyingine ni ya JK kwenda Mwanza jana. Naomba sana MODS wawe macho ili watu waletao threads za uongo wadhibitiwe.
Nawakilisha
Nawakilisha