wanaJF Tusitumie KAULI KALI katika KUCHANGIA HOJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaJF Tusitumie KAULI KALI katika KUCHANGIA HOJA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Dec 28, 2010.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF wenzangu napenda kutoa ushauri kuwa tupunguze MAKALI ya kauli zetu. Kama tutaendelea hivi tutakatishana tamaa na itakuwa ngumu members kutoa HOJA ambazo kwa namna moja au nyingine zina manufaa kwa nchi.
  TUELIMISHANE na TUVUMILIANE kama mitazamo inatofautiana katika baadhi ya HOJA. Siamini kama kweli tutatofautiana kwenye kila hoja.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wewe DSM ..... acha kutuzuga
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zungumzia hoja usizungumzie watu au hisia.
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Mbona umeanza na kusema watu, hoja yako ni ipi sasa?
   
Loading...