Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
Mleta mada.
Kajipange upya. Ulikolalia wenzako wameamkia Huko.

HahahaaWengine tukiishi kiukweli tutaishia Kijitonyama

Mleta mada.
Kajipange upya. Ulikolalia wenzako wameamkia Hilo.
. Kuna binti mmoja kitambo tuko in contact, nikachange ID nikamtaarifu, akijiweka mtu wa daraja fulani huku nikijiona fala tu kwake. Tulipokuja kutana na kuweka things in practice, aise, kuwa utayaone

Umekosea, ilitakiwa ww sasa uanze kuweka wazi jina lako halisi na mambo mingine kuonyesha mfano,,
Kwani wewe unatafutwa na wasiojulikana?Umekosea, ilitakiwa ww sasa uanze kuweka wazi jina lako halisi na mambo mingine kuonyesha mfano,,
Unahofia nn wakt we mwana Lumumba wala hamtafutwi na wasiojulikana
Kuna jukwaa la biashara na matangazo. Tumia hayo majukwaa tutaona tu mkuuHabari wapendwa!
Nimekaa nikatafakari kwa kutumia akili ya kawaida tu ( common sense), nikafikiri ambavyo ingekuwa vyema kama tungeishi maisha halisi humu,
Tungekuwa na uwezo wa kusaidiana kwa kupeana fursa na mipango mizuri ya kutuwezesha sisi kufanikisha mambo yetu kupitia network ambayo tungeitengeneza kupitia jamiiforums,
Mfano, kama mimi ni mkulima wa mahindi ningelikuwa na uwezekano wa kupata soko kwa watu wenye mashine za kukoboa au kupack nafaka na unga, wenye kampuni za ulinzi wangepata maeneo ya kutoa huduma hizo, wenye kampuni za udalali pia vivyo hivyo.
Tungekuwa na mahusiano yenye tija( mutual benefit) baina yetu wana jf, tungetengeneza jamii yenye kusaidiana kulingana na nafasi ya kila mmoja wetu.
Tatizo tunaishi fake life kiasi kwamba baadhi ya watu humu wameji brand hadhi fulani ambazo huenda hawana!
Kwa sisi wafugaji wa ng'ombe tungepata soko la maziwa na nyama hasa kwa walioko mijini hata kwa makubaliano maalumu ili wote tunufaike.
NB: Hii ingewezekana iwapo tungefahamiana physically, na kujiridhisha pasi na shaka kuwa wahusika mpo kwenye uhalisia ili kuepuka utapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe muongo?
Reli mpya au ya zamani!! nyie hao ndo jamaa anaomba muwe wakweli mfanye naye biashara ,muuziane mahindi na karanga

mi ilo ndio jina Langu halisi, Kwa kifup tu nimeliandika Kwenye Id

......Ana gari,kila mtu ametembea nchi nyingi yani tabu tupu.....Sio rahisi mkuu. JF kila mtu elimu yake chini ni shahada ya kwanza, kila mtu ana gari, kila mtu wazazi wake wamesoma, kila mtu hana shobo ya kuajiriwa amejiajiri mwenyewe, kila mtu... kila mtu...
Inawezekana wewe ni mtu wa kitengo,JF ina watu pande zote na kona zote za TZ,wewe physically unawakusanyaje wote,ili uwafahamu?Habari wapendwa!
Nimekaa nikatafakari kwa kutumia akili ya kawaida tu ( common sense), nikafikiri ambavyo ingekuwa vyema kama tungeishi maisha halisi humu,
Tungekuwa na uwezo wa kusaidiana kwa kupeana fursa na mipango mizuri ya kutuwezesha sisi kufanikisha mambo yetu kupitia network ambayo tungeitengeneza kupitia jamiiforums,
Mfano, kama mimi ni mkulima wa mahindi ningelikuwa na uwezekano wa kupata soko kwa watu wenye mashine za kukoboa au kupack nafaka na unga, wenye kampuni za ulinzi wangepata maeneo ya kutoa huduma hizo, wenye kampuni za udalali pia vivyo hivyo.
Tungekuwa na mahusiano yenye tija( mutual benefit) baina yetu wana jf, tungetengeneza jamii yenye kusaidiana kulingana na nafasi ya kila mmoja wetu.
Tatizo tunaishi fake life kiasi kwamba baadhi ya watu humu wameji brand hadhi fulani ambazo huenda hawana!
Kwa sisi wafugaji wa ng'ombe tungepata soko la maziwa na nyama hasa kwa walioko mijini hata kwa makubaliano maalumu ili wote tunufaike.
NB: Hii ingewezekana iwapo tungefahamiana physically, na kujiridhisha pasi na shaka kuwa wahusika mpo kwenye uhalisia ili kuepuka utapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaah, na ameshawahi "kuzenguana na traffic akiwa anaendesha gari lake" hahahahahahah......Ana gari,kila mtu ametembea nchi nyingi yani tabu tupu.....