WanaJF nimshauri nini rafiki yangu

Nahisi Mume anamdharau mke, au wanadharauliana na mume amepata nafasi ya kuonesha dharau zake.. Nakumbuka utotoni mgeni akiwa anakuja kututembelea tulikuwa na sisi watoto tunapewa taarifa kabla, ilhali tulikuwa hatuna mchango wowote kwenye familia. Sasa hili la mtu na mkewe halafu hakuna kupeana taarifa kabla linaniacha mdomo wazi..
 
Kweli ndoa inahitaji uvumilivu mkubwa kuliko hata uvumilivu wa kukatwa mguu bila ganzi.
Ila mwanamke awe macho, maana dalili ya mvua ni mawingu
 
I see ....nitakuja baadae nina maswali kibao kwa hawa wanandoa

Daaaaah,hiyo avatar mwah!

Sijawahi kuona mtu anasema ni yeye yamemtokea,kila anaeletafuta ushauri wa mambo kama haya atasema "rafiki yangu"

Ngoja nikitoka kwenye mtihani ntakushauri
 
Back
Top Bottom