Hata mimi ninafurahi kuona jambo kama hili likitokea. Maana hata mimi JF imeniongezea uelewa wa mambo, ikiwa ni pamoja na kupata kazi.
Nina msemo... Usipotaka kujifunza toka kwa wenzio, utajifunzak wako mwenyewe (The hard way).
Babu ngoja niungane nawe kwa kuishukuru JF MMU kunikutanisha na mtu ambaye naamini ni mkarimu wa asili.
Mtu huyu ni babu lakini bado ni rafiki, ni babu lakini bado ni kaka. Mtu huyu ni wewe mkuu na kwako nilijifunza sana maana ya msamiati Ukarimu.
Shem wangu Madame B ni shahidi wa hili...
Hii kweli naona imetoka moyoni. Hope watazisikia shukrani zakoahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.
ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?

Nipo mkuu. Mwaka huu sikupata sana nafasi ya kujumuika nanyi hapa kutokana na purukushan za hapa na pale. Nimekuwa msomaji mzuri sana kuliko mchangiaji. Kuokana na comments zao, naona umekaa vizuri sana na wajukuu zako kwa mwaka huu.Upo mkuu??
Mbona umepotea kiasi hicho??
Babu DC!!
Nipo mkuu. Mwaka huu sikupata sana nafasi ya kujumuika nanyi hapa kutokana na purukushan za hapa na pale. Nimekuwa msomaji mzuri sana kuliko mchangiaji. Kuokana na comments zao, naona umekaa vizuri sana na wajukuu zako kwa mwaka huu.
Nakutakiwa mwisho wa mwaka mwema
watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
ingawa hakuna ninayemfahamu hapa mmu kwa sura lakini ki ukweli nimeelimika sana kupitia michango yenu.
Usijali besti, hivi ndivyo marafiki hupaswa kuwa.
Ni kweli kuwa wengi wetu tunatumia majina na avatar zisizo na uhalisia, lakini hilo halibadilishi uhalisia wa mioyo yetu.
Kuna wakati sura na matendo yetu yanaishi katika yale tuyaandikayo.
Panapo fursa watafute watu wawili watatu, onana nao. Naamini kuna jipya utapata zaidi marafiki wapya utawakaribisha maishani mwako.
yes hiyo ni kweli kabisa afu ukuje mwanza bana