Mkuu Nashukuru Kwa Ushauri Wako Mzuri, Nakubaliana Nawe Kabisa Tatizo Ni Namna Ya Kupata Kianzio.Huna connection na watu wanaonunua viwanja.
Mimi ni mwalimu nilianza kwa kuwa dalali lakini tangu mwaka jana nanunua na kuuza kikiwa na document zangu.
Napata wateja kwa urahisi na wanakuwa na imani.
Tafuta mtaji wastani wa Tsh10,000,000 anza biashara yako hutajuta.
Ongea vizuri na ndugu mkuu.Mkuu Nashukuru Kwa Ushauri Wako Mzuri, Nakubaliana Nawe Kabisa Tatizo Ni Namna Ya Kupata Kianzio.
Nashukuru Sana Mkuu.Pole sana,karibu nyumbani Pemba tusherekee sikukuu
Mkuu Ndugu Zangu Wote Macho Kwangu Wao Wananiona Mimi Ndio Afadhali.Ongea vizuri na ndugu mkuu.
...teh hee hee...huo mtaji atautoa wapi wakati unga tu wa kula anaunga donee hapa!Huna connection na watu wanaonunua viwanja.
Mimi ni mwalimu nilianza kwa kuwa dalali lakini tangu mwaka jana nanunua na kuuza kikiwa na document zangu.
Napata wateja kwa urahisi na wanakuwa na imani.
Tafuta mtaji wastani wa Tsh10,000,000 anza biashara yako hutajuta.
Mkuu nimemshauri hivi ili aongee na ndugu wamuazime angalau hio pesa kisha akipata faida atalipa....teh hee hee...huo mtaji atautoa wapi wakati unga tu wa kula anaunga donee hapa!
...ushauri mzuri,utawanufaisha wengine!..ila kwa yeye,sidhani!..wangekuwapo hao 'ndugu' hasingeanzisha huu uzi!Mkuu nimemshauri hivi ili aongee na ndugu wamuazime angalau hio pesa kisha akipata faida atalipa.
Dah haya mkuu...ushauri mzuri,utawanufaisha wengine!..ila kwa yeye,sidhani!..wangekuwapo hao 'ndugu' hasingeanzisha huu uzi!
...ni mtazamo tu!
Yakula watoto huna ila unayo ya Niuzie Smartphone
Mwalimu suala la kuwa na pesa mfukoni au kuwa na misingi ya kimahusiano imara na ndgu ni pana zaidi ya tujuavyo. Zimebaki familia chache zinazo jivunia umoja wa kindugu. Kunawa wamekuwa wamekuta ndg hawaelewani. Utaambiwa babako alizinguana na ndg zake kwasababu ya mali, hivyo tangu unazaliwa unakuta misingi ya mahusiano ilisha bomoka.Mkuu nimemshauri hivi ili aongee na ndugu wamuazime angalau hio pesa kisha akipata faida atalipa.
Mkuu Umenena Vyema Kabisa.Mwalimu suala la kuwa na pesa mfukoni au kuwa na misingi ya kimahusiano imara na ndgu ni pana zaidi ya tujuavyo. Zimebaki familia chache zinazo jivunia umoja wa kindugu. Kunawa wamekuwa wamekuta ndg hawaelewani. Utaambiwa babako alizinguana na ndg zake kwasababu ya mali, hivyo tangu unazaliwa unakuta misingi ya mahusiano ilisha bomoka.
Si hivyo tu mwalimu, heshima ya Ndg kwako na upendo, utavipata kulingana na ulicho nacho mkononi/mfukoni. Tunaheshimiana kwa sababu na si vinginevyo. Ndg yangu kama unao ndg wanaoweza kukuamini wakakupa hayo manoti, inua macho juu mtukuze Mungu. Vinginevyo familia nyingi sasa mambo ni kama mbinguni kila mtu anabeba mzigo wake.